,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, November 25, 2014

 Kala Jeremiah akichana mistari.
Mwanamziki wa Hip hop, Kala Jeremiah amezindua video yake ya Wimbo Usikate Tamaa  aliomshirikisha Nuruwell katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Katika uzinduzi huo, Kala alisindikizwa na mastaa kibao wakiwemo Mo Music, Ben Pol, La Veda, Stamina, Ney Lee ambao waliporomosha shoo za nguvu na kuzikonga nyoyo za mashabiki waliohudhuria uzinduzi huo. Kala Jeremiah amesema audio na video zinatarajia kutoka rasmi siku ya Jumatano yaani tarehe 26/11/2014.(Picha na Pamoja Blog)
   Kala Jeremiah akiendelea kufanya ya kwake kwenye stage wakati wa uzinduzi video ‘Usikate Tamaa’
 Stamina akizidi kutiririsha mistari kwa mashabiki wake. 

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi