,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, August 10, 2014


Msaii na muigizaji wa filamu nchini ajulikanae kama elizabeti michael, ameonekana akikosa maadili, baada ya kuvaa vazi ambalo halistahili hasa wakati wa mchana kweupee...

ukizingatia yeye ni kioo cha jamii inayomzunguka , ameonekana akiingia maeneo flani apa mjini akiwa katupia vazi ilo bila wasi wasi, watu wakimshangaa,, angalia kwa ku bofya hapo juu.......
Je ingekua wewe umekutana nae hivo ungefanyaje...????

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi