Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka, Taifa Stars na mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa, ameingia kwenye scandal nzito baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja mtandaoni.
Mkanda huo unamuonesha mchezaji huyo akiwa kwenye ‘suti yake ya kuzaliwa’ pamoja na msichana wakivunja amri ya sita.
Huku kukisikika muziki wa aina mbalimbali ukiwemo wa reggae, wapenzi hao wanasikika wakizungumza na kucheka wakati wakiendelea na tendo hilo.
0 comments:
Post a Comment