@
LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- OK SO HAPA MUJINI BONGO NI FACT OF LIFE
KWAMBA HAKUNA MAPENZI YA UKWELI ILA NI BIASHARA, HATA AJIFANYE NATURAL
VIPI IN THE END LAZIMA UPATIWE INVOICE; SO BADILIKA MTU WANGU MAPENZI YA
UKWELI KAMA YA ENZI ZA WAZAZI WETU HAMNA TENA HAPA MUJINI, GET THAT
RIGHT!!
- AFU NI FACT OF LIFE MABEBS WA UKWELI NI GHARAMA U KNOW,
CAUSE UNAPOKUTANA NAO SI WANAKUWA WAMEPENDEZA SASA UNATAKA NANI
AKUPENDEZESHEE WEWE UJE TU KUPAKUA MZIGO? NO WAY! TAFUTA KIATU CHA SIZE
YAKO WACHANA NA VIATU AMBAYO HAVIKUTOSHI KWA SABABU WAPO AMBAO
VINAWATOSHA ILA NA WEWE KUNA SIZE YAKO!! JAMANI SUBUHI NJEMA!! - LE
MUTUZ
0 comments:
Post a Comment