Posted by Williammalecela.com on Wednesday, August 28, 2013
Angella
Michael Msangi anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Easter
Michael Singoye kilichotokea alfajiri ya tar 28.08.2013! Msiba uko
kimara bonyokwa -kituo cha kindole! Kwa mawasiliano
0713297408,0782297408 ,mipango ya mazishi inaendelea
0 comments:
Post a Comment