Posted by Williammalecela.com on Thursday, August 29, 2013
KUNA HABARI ZA KIFO CHA OFISA WETU WA UBALOZI INDIA BW. SELEMAN MAKONGORO KWA JINA MAARUFU "SENETA" AMBAYE AMEKUWA AKISUMBULIWA UGONJWA WA KANSA KWA MUDA MREFU SANA SASA. "SENETA" AMEFARIKI DUNIA JANA INDIA.
0 comments:
Post a Comment