,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, August 28, 2013

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Viwanja vya Ndege Tanzania Deusdetiti Kato amehamishwa na kupelekwa Makao Makuu ya Polisi - DSM. Aidha aliyekuwa Mkuu wake wa Upelelezi David Mwafwimbo amehamishiwa mkoani Lindi kuwa OCD. Katika hamisha hamisha hii, aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara Linus Sinzumwa amehamishiwa Makao Makuu ya Polisi na nafasi yake kuchukuliwa na Zelothe Stephen ambaye yuko katika ajira ya mkataba baada ya kustaafu kwa umri wa lazima mapema mwaka huu.

Source:- JF Web

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi