,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, June 15, 2013

  LIVE STRAIGHT TALK FROM  MKAREEEEEEEEEE    JESTINA GEORGE Jamani nawapa onyo leo huyu jamaa kaniibiaje mafuta kwa kuniwekea hewa hapo kituo cha Bujuor Kinondoni. nimeenda pale nikampa elfu 30 yaani taa yangu ilikuwa inawaka basi kaweka mafuta namuona anaweka huku hiyo meter yake inaenda. Basi kuondoka bado taa inawaka na gauge haijapanda nikarudi pale kituoni tukaanza kubishana ananiambia kaniwekea mafuta na gari yangu ndo mbovu basi wakajazana hapo wafanyakazi wenzake kumtetea nikatoka nikaenda pale victoria nikaweka mafuta taa ikazima na gauge ikapanda. Sasa ndugu zangu kaeni chonjo na hao jamaa wa hicho kituo especially huyu kwenye picha maana ndo aliniwekea hewa badala ya mafuta. kwa wote mnaowafahamu huyu ni mwizi.

3 comments:

  1. Yani hawa watu, wanamiliki majumba na magari kwa wizi.

    ReplyDelete
  2. yaani hii tabia pia ipo kwenye vituo vya oil com ni wezi balaa,mm huwa naweka kwa emergency tu na hayazidi elfu kumi.nakuthibitisha wizi wao hata ukienda na kidum hawakuuzii maana siutaona?.yaan sio ustaarab kbs mtu unatoa hela unawekewa hewa!.inakera sna na diffence yao cku zote ndo hiyo kwamba gar mbov utafikir wao wanaijua gar yako kuliko ww!wajue kbs watu wanajua wanaibiwa na hiz ni biashara huria wateja wakihama watauzaje mafuta?ndo tatizo la kuajir watu wasiosoma maana hawajal kbs huduma kwa mteja bali matumbo yao.

    ReplyDelete
  3. Na sura lake limekaa kiwizi wizi

    ReplyDelete

ufunguzi