LIVE STRAIGHT TALK FROM MKAREEEEEEEEEE JESTINA GEORGE Jamani
nawapa onyo leo huyu jamaa kaniibiaje mafuta kwa kuniwekea hewa hapo
kituo cha Bujuor Kinondoni. nimeenda pale nikampa elfu 30 yaani taa
yangu ilikuwa inawaka basi kaweka mafuta namuona anaweka huku hiyo meter
yake inaenda. Basi kuondoka bado taa inawaka na gauge haijapanda
nikarudi pale kituoni tukaanza kubishana ananiambia kaniwekea mafuta na
gari yangu ndo mbovu basi wakajazana hapo wafanyakazi wenzake kumtetea
nikatoka nikaenda pale victoria nikaweka mafuta taa ikazima na gauge
ikapanda. Sasa ndugu zangu kaeni chonjo na hao jamaa wa hicho kituo
especially huyu kwenye picha maana ndo aliniwekea hewa badala ya mafuta.
kwa wote mnaowafahamu huyu ni mwizi.
Saturday, June 15, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Yani hawa watu, wanamiliki majumba na magari kwa wizi.
ReplyDeleteyaani hii tabia pia ipo kwenye vituo vya oil com ni wezi balaa,mm huwa naweka kwa emergency tu na hayazidi elfu kumi.nakuthibitisha wizi wao hata ukienda na kidum hawakuuzii maana siutaona?.yaan sio ustaarab kbs mtu unatoa hela unawekewa hewa!.inakera sna na diffence yao cku zote ndo hiyo kwamba gar mbov utafikir wao wanaijua gar yako kuliko ww!wajue kbs watu wanajua wanaibiwa na hiz ni biashara huria wateja wakihama watauzaje mafuta?ndo tatizo la kuajir watu wasiosoma maana hawajal kbs huduma kwa mteja bali matumbo yao.
ReplyDeleteNa sura lake limekaa kiwizi wizi
ReplyDelete