Igeni
kwa LE MUTUZ, guys uyu entrepre-poli-bebbs japo weng mtajiuliz inakuwaj
anapata bebbs kali,anashobokewa but anatumia formula na simple rules;
1) Anajiamini na kujikubali. yey mwenyewe anajipenda adi unajiuliza huyu mtu ana nini cha mno so in the proces ya kujiuliza utamwingiza akilin (many gels will fall for such a dude)
2) He is famous na kafanyia kazi fame yak kw kurelax wala hajaenda bongo movie wala hajawalipa acudo sound,au skylight band wamtaje kwenye nyimbo,ila yeye anaitumia social net works with goals, kila post anayoweka anasubiria kick parcentage (gels also love famous people)
3) The guy anaaminika. In the sense ukitizama maisha yake na watu anaohang out nao ar big celebs,viongozi kitaifa, macoprate mg's, ceo's na viongozi wa vyama.(gels tunapenda kuhang na mtu kama huyu as utapata social acceptance and exposure)
4) Le mutuz anapendwa na bebbs. Hata benk ukienda kukopa wale ambao walishtry kuingia cooperate,benk hupend kujua historia ya ac.yako benk,je umewah kukopa,trend ya urejeshaji wa mkopo etc. Huwez kwenda kukopa benk wakt huna hata account.(Gels weng hujikut tunapend kuhang na mtu anaeaminika na mabint wengine waazur,psychologically we need to b th part of th moment ili kubust self esteem lyk damn,over all gels wanaomshobokea mie mama lao ndo nahang nae!
5)Huwa ana muda wa kujadili biashara na kazi zake za pesa Pesa. (Hapa nisipazungumzie sana, maisha ya sasa u know gelz and money ni kama kinana na pembe za ndovu)
6) Promo yake ipo juu sna. Le mutus looking at him appearance yake ya kawaidaaaa,hawez nishtua nkastop kuandika an sms on ma phone nimtizame akiingia somewhere however kw jins anavyojinadi with bizthings,siasa na kwnye mitandao anakuwa kama nyimbo inayopigwa promo cloudsfm lazma utaiona nzur na utaipenda tu. Le mutuz kafnikiwa, he is handsome downtown ther ulizia. (so gels wanapend hb's japo huyu heheheee ameutengeneza thru promo)
USHAURI WANGU KWA WAPENDA BEBBS
Igeni
maisha ya Le Mutuz Baharia. Ambae huwa hapost status zinazoonesha he is
goin thru difficult, yeye kila post inayomuhusu he is in the grace
period (nan asiependa kuwa part of grace moment). Muigeni maisha yake
mtapata mabebbs wa ukweeeeehh. Na pia haya ni maoni yangu sio msimamo wa
mabinti wote! " nimeikuta kwenye post ya mtu nikaona niiweke hapa
labda haujaiona"

0 comments:
Post a Comment