Taarifa kutoka kwa wadau mbalimbali zinatufahamisha kuwa,
‘Ruling’ ya mapingamizi yaliyowekwa ili kuzuia rufaa ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema isisikilizwe tayari imetoka na mapingamizi mawili yametupiliwa mbali huku pingamizi moja likikubaliwa.
Kinachohitajika sasa kwa mawakili wa Godbless Lema ni kutimiza masharti ya kisheria ndani ya siku kumi na nne ili kesi iweze kupangiwa rasmi siku na tarehe ya kusikilizwa na kisha kuamuliwa.
(shukurani ya picha: Arusha255 blog)

0 comments:
Post a Comment