Kuna ripoti iliyotolewa na mashuhuda
kwamba huko Temeke hospitali Dar es salaam leo kuna mwanamke mke wa mtu
ambae amefikishwa hospitalini huku mwili wake ukiwa umegandana na
mwanaume aliefumaniwa nae
PICHA NA HABARI ZAIDI ZITAWAIJIA BAADAYE
SHUKRANI KWA KUNDIZIMA LA CLOUDS FM
0 comments:
Post a Comment