MC katika maonyesho hayo alikuwa ni Ireene Tilya ambaye ni Mtangazaji wa Toneradio
Mkuu wa Operesheni wa Tone Mult-Media Company Limited Sillas Mbuya
Mtangazaji wa Toneradio Kid Bwoy
Head
of Corporate Affairs wa Tone Mult-Media Company Limited, Victor Luvena
(kushoto) akiwa na Afisa Masoko wa Tone Harold Mwakasala wakati wa
maonyesho ya mitindo ya mavazi yaliyofanyika Septemba 22, mwaka huu pale
Mbalamwezi Beach.
Wabunifu
wa mavazi katika usiku wa mitindo uliofanyika Mbalamwezi beach walikuwa
ni Diana Magese, Mitindonite iliwakilishwa na Ally, Amin, Wancy na
Matrida, Bambo collection, Renee, Cocoriko, William Johnson, Veronica
Ruhenzi-VS collection, Dorcas, Subira, Salim Ally, na Wavisa Collection.
Wengine ni Onfe collection, Baby Jullieth Collection na Hamidi Abdul collection.
Maonyesho
ya mitindo ya mavazi, yameandaliwa na Mitindonite Afrika na kudhaminiwa
na Darling, Equity Bank, Tone Mult-Media Company Limted ambao ni
wamiliki wa Tone radio, Blogs za mikoa na Thisday Magazine,
Secret Lengerie wauzaji wa nguo za ndani za wanawake, Amaya Beauty
Solon & Spa, Better service, small axe, Qice photo sport, Real
Burger, Fashion News, Pekuatanzania na Mdee Trans.
Blogzamikoa
0 comments:
Post a Comment