Hello guys,
Habarini za kazi,
Ningependa kuwataarifu kwamba..
Msanii Francia aja tena na kibao kipya matata kabisa kiitwacho 'Hayana mwisho'.
Habarini za kazi,
Ningependa kuwataarifu kwamba..
Msanii Francia aja tena na kibao kipya matata kabisa kiitwacho 'Hayana mwisho'.
Wimbo umeandikwa na kuimbwa na Francia mwenyewe, producer wa wimbo ni Kili award producer Maneke from AM studios.
Music video imetengenezwa na 'Like brothers' kutoka UK.
http://www.youtube.com/watch?v=qStJSplkExo
Music video imetengenezwa na 'Like brothers' kutoka UK.
http://www.youtube.com/watch?v=qStJSplkExo
Unaweza pata nyimbo za Francia kutoka itune au Amazon kwa kufuata link hapo chini
http://itunes.apple.com/gb/album/mixture/id530853691
Naomba wenye blog/website mnisaidie kutangaza.Asanteni sana kwa ushirikiano wenu
Ni mimi Francia
0 comments:
Post a Comment