J WAKE LO CHIEF JUDGE MISS UBUNGO
| chief judge ndo anaingia |
| nimenoga na city star boutique |
| mti wenye matunda ndio unaopendwa na kupigwa mawe |
| j wake lo na Hamissa |
| chief judge huyo akifuatilia burudani |
| warembo waliowania taji la Miss Ubungo |
| Nothing but confidence |
| nikiwa hoi na uongeaji wa raisi wa FM academia jua vile tunapendaga |
| uongeaji wake tuu mie hoi atii anaenda bara la ulaya tena Nyoshi mbavu zangu |
| mie tena kila saa furaha ninune nini mie |
| nikiwa busy kukamilisha zoezi |
| chief judge na maswali ya top 5 |
| classy |
| huyu ndie mshindi beauty+brain |
| Top 3 |
| nikiondoka zangu kulala mie |
| Sintah anajishebedua na Virgo |
| Aiseeeee ni J&M Virgo |
| mali mpya ktk kwa mzee Obama na haijapita sheshushiii |
| kumbe nguo ndefu zunanitoa |
| chezea toto la kipare na J&M virgo |
| wakati mwingine miburuzo inahusika |
| nguo zetu ni bomba fika dukani kwetu |
| kwa raha zangu |
| hata ma bibi harusi wanavaa hii ktk send off/kitchen party |
| nimetoka chicha na J&M Virgo |
0 comments:
Post a Comment