,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, September 11, 2017

Usiku wa September 9, 2017 Fiesta ilifanyika kwa mara ya kwanza Arusha katika msimu mpya wa 2017 ambapo wasanii mbalimbali walitumbuiza kwenye
stage na miongoni mwao ni Weusi ambao waliperfom kisha baadae wakawafanyia wakazi wa Arusha Surprise baada ya mwimbaji Vanessa kupanda akichana wimbo wa Don’t Bother.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi