,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, August 29, 2017

Rapper  Young Dee ameomba radhi baada ya kusambaa kwa picha zenye utata  mitandaoni akiwa  video vixen  na msanii  Amber Lulu, Young Dee anaonekana  akitazama makalio ya video vixen huyo ambae yuko nusu uchi kwenye picha hiyo.



Kupitia account yake ya instagram  Young afunguka hay:
"Nasikitishwa kwa picha inayosambaa mitandaoni.. imevuja bila ridhaa yangu ni picha iliyokua imepigwa behind the scene lengo haswa la photoshoot ni aina hii mpya ya mavazi ya aina ya ki"Scortish" kama sketi. Naomba radhi sana kwa hili! Na kwa mashabiki wote!😒 So sad! "
Categories:

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi