Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 29, 2017
 |
Inadaiwa
wakandarasi wanaofanya ukarabati wa Uwanja wa Taifa, wamekuta fuvu la
kichwa cha Binadamu wakati wakiondoa nyasi za zamani. Uwanja huo unafanyiwa ukarabati kwa kuweka nyasi mpya katika sehemu ya kuchezea. |
0 comments:
Post a Comment