Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 29, 2017
 |
Alishindwa
kweli huyu Mac Gregor? Unapomcheka mtu kuwa ameshindwa, tizama kitu
inaitwa "big picture"! Yes ulingoni tulimcheka ni kilaza, kapigwa hadi
kamasi zimemtoka! Aibuuu, alichoka hadi alitia huruma. TKO, hoi jamaa!
Lakini sio wote wanaoshindwa ulingoni ni washindwa, big picture, jamaa
kashinda maisha, kapata milioni zaidi ya 100 USD! Wewe mcheke, yeye
anacheka strong room hapo. Kushindwa kwangu sio sawa na kushindwa kwako! Fikiria, chukua hatua! Usimcheke anaeonekana kashindwa. |
0 comments:
Post a Comment