Posted by Williammalecela.com on Tuesday, August 29, 2017
Mfanya Biashara maarufu hapa mjini ambaye pia ni Mmiliki wa CXC Africa Bwana Hamkah leo amesherehekea siku ya kuzaliwa kwake pale nyumbani kwake Kinodnoni, Jijini Dar. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na Le Mutuz Nation pamoja na Edo Kumwembe na wageni wengine waalikwa.
0 comments:
Post a Comment