Wafanyakazi wa Multichoice Tanzania Walioudhuria Uzinduzi huo
Balozi wa Multichoice Tanzania Nancy Sumari Akizungumza Machace Wakati wa Uzinduzi huo.
Multichoice Tanzania tunawaletea wateja wetu mabadiliko makubwa kwenye Vifurushi vya DStv.Ni punguzo kubwa katika Bei za vifurushi vyao litakaloanza Rasmi Tarehe 1 Septemba na mabadiliko hayo yatakua kama ifwatavyo:
Premium kutoka 184000 mpaka 169000 Compact Plus kutoka 122500 mpaka 109000 Compact kutoka 82,500 mpaka 69,000 Family kutoka 42,900 mpaka 39,000 Bomba kutoka 19,975 mpaka 19,000 
Balozi wa Dstv Tanzania Nancy Sumari Akiwa Sambamba na Mkurugenzi Mtendaji wa Mutlichoice Tanzania Ndg. Chande Maharage Pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa Dstv Tanzania Ndg Alpha ...leo wakati wakizindua "VYUMA VIMEACHIA" yaani imepunguza tena bei ya VIFURUSHI Mkurugenzi Mtendaji akieleza zaidi amesema Vyuma vimekaza akimaanisha hali ya kifedha imebana.Multichoice imelisikia hilo na kuamua kuwapa wateja wote wa Dstvahueni kubwa.Sasa kwa wateja wa Dstv VYUMA VIMEACHIA.
Mkurugenzi wa Masoko wa Dstv Tanzania Ndg Alpha Akiz\ungumza machache wakati wa Uzinduzi huo.
Balozi wa Dstv Tanzania Nancy Sumari Akimkabidhi Mmoja wa waandishi waliojishindia zawadi ya Kingamuzi cha Dstv kilicholipiwa mwezi mzima
0 comments:
Post a Comment