![]() |

Taji Liundi
"Nilikuwa sijaangalia video ya wimbo huo. Jioni hii nimetoka kibaruani na kupata nafasi ya kuiona hiyo video ya Zilipendwa. Tofauti ya Seduce me ya Ali Kiba, nikiri, zilipendwa nimeipenda haswa. Kama ningeshauri basi, walipaswa waanzie pale Bolingo na Ndombolo. Maana sekunde 30 za kwanza zilijaa upuuzi uliokaribia nusu porno isiyoendana na mila na desturi zetu."
cc: Maggid Mjengwa

0 comments:
Post a Comment