,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Tuesday, August 29, 2017

Image may contain: 1 person, closeup
JE WAJUA?
George Junius Stinney, Jr. Ndiye kijana
mdogo wa kwanza Duniani, Mwenye umri wa miaka 14 aliyehukumiwa kifo kwa kiti cha umeme
mwaka 1944


Baada ya wasichana wawili wa kizungu ,Betty June-Miaka 11 na Mery EmmaThames-Miaka 8 kupotea na miili yao kuokotwa kesho yake ikiwa tayari wamekufa na mtuwa wa mwisho kuonekana akiongea na hawa watoto alikuwa ni huyu kijana mwenye asili ya afrika - George(14).
Kesi hii ilikuwa batili maana mashahidi wa
kesi hii walikuwa polisi waliosema George
amekiri shitaka(confess) ila hapakuwepo
na maandishi(records)yoyote ya
kuonyesha kukiri kwake.

Polisi wawili na madaktari walioenda eneo
la tukio na madaktari kuifanyia miili
postmortem. Polisi na madaktari hawa
walikuwa wazungu.

Kesi hii ilichukua siku moja , jopo la majaji
lilikuwa ni wazungu pekee kwasababu
kipindi hicho BLACKS hawakuruhusiwa
kupiga kura(right to vote), Goerge alibaki
pekee yake bila shahidi kwasababu
alikuwa mweusi(black).

Kesi ilichukuwa masaa mawili na
kumhukumu George hukumu ya kifo kwa
kukaa katika kiti cha umeme.

Wakati anawekwa kwenye kiti cha umeme
ilikuwa ni taabu kidogo kwani George
alikuwa na urefu wa sm 155 na uzito
usiopungua pounds 90 (40kg) kutokana na
umbile lake dogo code ya umeme ilikuwa
taabu kutoa umeme.

Hivyo, George akawekewa mfano wa
sufuria kichwani na akavikwa mask ya
umeme kisha akapigwa na shot ya umeme
yenye nguvu ya 2400V kutokana na udogo
wa kichwa chake mask ilifumuka na
kuonesha fuvu lake likiwa wazi, midomo
akitokwa na mate na machozi machoni.

Wakapiga shot nyingine George akawa
amefariki....baaba ya kufariki mikanda
aliyokuwa amefungwa mikononi. Mkono
mmoja wa kushoto ulikata mkanda
kuashiria alikufa kifo cha kinyama....

Unaweza Kuingia Youtube Kuangalia movie walioigiza kuhusu tukio hili linasikitisha sana kwa kuandika George Junius stinney Jr
RIP George Junius Stinney, Jr (14).

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi