,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Monday, August 28, 2017

Dancer machachari kutoka kundi la WCB Mose Iyobo a.k.a Baba Cookie amechafua hali ya hewa instagram..
 ni baada ya kutuma picha ambayo inaonekana kama ni dongo kwa msanii ALI KIBA mwenye HIT SONG SEDUCE ME  inayobamba mtaani na kusumbua kwenye chati za muziki nje na ndani ya nchi. 
Hii ndiyo post aliyotuma kwenye instagram account yake siku ya leo. 


Nini maoni yako wewe kama mdau wa bongo fleva.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi