,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, June 29, 2017

 RAIS wa TFF Jamal Malinzi na Katibu wake Mkuu Seletine Mwesigwa,akiwa pamoja na Rais wa Simba Evansi Aveva na Makamu wake Geofrey Nyange 'Kaburu', wakiwasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu muda huu baada ya kushikiliwa tangu juzi na Mamraka ya kudhibiti na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKULU)


Rais wa TFF, Jamal Malinzi, Katibu wake Celestine Mwesigwa pamoja na Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' wafikishwa na TAKUKURU katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma zinazowakabili.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi