Kwa
mara ya kwanza Msanii wa Hip Hop Roma Mkatoliki na wasanii wengine
tangu kuingia Madarakani kwa Rais John Magufuli wameitwa Ikulu.
Roma alionekana Ikulu akiwa bado Mkononi anabendeji aliwekwa kutokana na Majereha aliyoyapata kutokana na mateso aliyoyapata alipotekwa na watu wasiojulikana.
kwa pamoja na wasanii wengine waliimba mbele ya Rais Magufuli wimbo wa Kizalendo juu ya 'Tuulinde Muungwano'
Wimbo huo uliwakutanisha wasanii takribani wote wa Muziki wa Bongo Flavor.

0 comments:
Post a Comment