,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Wednesday, May 24, 2017

Image result for ROMA MKATOLIKI IMAGES
Msanii Roma Mkatoliki, pichani akionyesha majeraha yaliyomkuta baada ya "KUTEKWA" na watu wasiojulikana mwezi uliopita na ambaye amekuwa mstari wa mbele kuimba nyimbo za kuiponda Serikali, leo kwa mshangao mkubwa amejiunga na Wasanii wengine wengi wa Tanzania Stars na kwenda kuimba Ikulu wakati wa kikao maalum cha Rais Magufuli kupokea Ripoti ya Tume ya Mchanga wa Dhahabu. Kuwepo kwake huko Ikulu leo kumezua maswali mengi sana yasiyokuwa na majibu kuhusu msimamo wake wa nyuma wa kuipinga sana Serikali ya CCM, akijihusisha sana Chadema.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi