,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, May 7, 2017

Staa wa Bongo Muvi, Tamrinah Poshi ‘Amanda’.
SEXY lady kunako tasnia ya Bongo Muvi, Tamrinah Poshi ‘Amanda’ ameshangazwa na tabia ya baadhi ya wanaume kuhonga wanawake wakati pesa wanazitafuta katika mazingira magumu na ya kusikitisha.

Akizungumza na Showbiz Xtra , Amanda alidai kuwa, anashangazwa na tabia hiyo ilihali wakijua kwamba hivi sasa pesa imekuwa ngumu kupatikana. “Mi’ nawashangaa sana wanaume wahongaji, mtu ana mke, lakini bado anahangaika na kuhonga michepuko, kama mimi ningekuwa mwanaume, nisingekuwa ninahonga aisee,” alisema Amanda.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi