Rapa na mfanya biashara maarufu Kanye West amejitoa kwenye mitandao ya kijamii maarufu Twitter na Instagram,
Kanye amefuta kurasa yake ya Twitter @kanyewest na kurasa yake mpya ya Instagram #KanyeWest.
Mke wake Kim Kardashian bado anatangaza bidha zake za watoto kupitia brand yao mpya ya #Calabasas ‘Calabasas adidas Clothing’.
Mr. West amepotea kwenye vyombo vya habari toka kupata tatizo la akili na kulazwa kwa wiki moja hospitalini.
0 comments:
Post a Comment