,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, May 6, 2017

Zikiwa zimepita siku chache tu tangu mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Yamoto Band Aslay kuachiwa wimbo binfasi unaoitwa ‘Angekuona’ kitendo kilichotafsiriwa kuwa mwanzo wa kuvunjika kundi hilo, sasa msanii mwingine ameamua kutoka kivyake.

 Staa mwingine wa kundi hilo Beka Flavour ameachia wimbo wake mpya ambao unaitwa ‘Libebe’ akisema kuwa ameamua kufanya hivyo ili kuonesha uwezo binafsi:“Huu wimbo ni nje ya kundi la Yamoto Band. Lengo ni kuonyesha uwezo binafsi kwetu sisi. Ameanza Aslay, sasa ni zamu yangu.” – Beka Flavor

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi