Posted by Williammalecela.com on Friday, April 07, 2017
Stori inayoendelea kuchukua headlines mitandaoni ni kuhusu Rapper Roma Mkatoliki na wenzake kukamatwa na watu wasiojulikana kwenye studio za Tongwe Records Dar es Salaam, sasa hapa nimekusogezea post za mastaa mbalimbali walioguswa na tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment