,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, March 23, 2017

Kuna taarifa zinaendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii kumuhusu hitmaker wa ngoma ya Muziki Darassa CMG kushindwa kupiga show jijini Nairobi nchini Kenya kwa sababu ambazo hapo awali zilikuwa hazijafahamika.

Shilawadu wamempenyezea Chuma Chakavu Major General Chacha Mura taarifa hizo na ameweza kuzifuatilia kiundani taarifa hizo na kufanikiwa kupiga story na Darassa pamoja na Promoter ambaye anasemekana ndiye ambaye alikuwa muandaaji wa show hiyo.
Uhondo kamili nimeukusanya na kukuwekea kwenye video hii hapa chini, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye video hii hapa chini ili kuusanukia mchongo mzima.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi