,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, March 23, 2017

Bosi wa kundi la muziki la Mkubwa na Wanawe na TMK Wanaume famillly Said Fella amemkingia kifua msanii Mh.Temba kwa kusema kuwa siyo kweli kwamba anapotoa kazi ya pekee yake huwa hapendezi katika mavazi.

Hayo yamekuja baada Fella kuulizwa swali kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV kuwa ni kwanini Mh. Temba anapofanya kazi na Chege ndipo anapendeza zaidi? na hili ndilo lilikuw jibu lake...
“Hilo siwezi kulisemea lakini pale kila mtu ana uwezo wake na wamekuja kukutana kwenye kazi ila ninachopenda mashabiki wanavyoniambiaga tukiona ‘cream’ hii ndiyo tunapenda lakini sina maana ya kusema nani zaidi usitake kunigombanisha na wasanii wangu”. Alisema Fella
Aidha Meneja huyo amesema nyimbo nyingi Temba alikuwa anafanya na watu wa nje ila sasa hivi ameamua kufanya na Chege
Temba na Chege

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi