Kitaani kuna tetesi zinazo wahusisha wakali wawili kwenye game ya music nchini Tanzania mmoja akiwa muimbaji na mwingine mtayarishaji.
Ni hitmaker wa Main Chick Maua Sama na producer wake Emma The Boy, wawili hao wanatajwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi.
Chuma Chakavu ameamua kuwavutia waya kwenye U-heard ya leo March 24 na kupiga nao story kuhusu tetesi hizo zilizopo kitaani.
Unataka kukijua walichokizungumza wawili hao? Uhondo kamili nimekuwekea hapa chihi kwenye video hii. Bonyeza play kusikiliza mwanzo mpaka mwisho wa mazungumzo ya wawili hao na Chuuma Chakavu (Mussa Hussein).
0 comments:
Post a Comment