,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Saturday, March 25, 2017

Ukiachana na Wanasiasa kuandika kile ambacho wanaendelea kuandika kila kukicha kuhusiana na hali inavyoendelea katika nchi yetu sasa hivi, wapo wanamuziki ambao nao pia wameamua kufunguka kile ambacho wanakiona kwa muono wao.

Mmoja kati ya hao ni hitmaker wa ngoma ya Muziki Darassa CMG ambaye yeye ameandika katika ukurasa wake wa instagram caption ambayo inaonyesha kabisa ni jinsi gani ambvyo haridhishwi na hali inavyoendelea nchini sasa hivi.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi