Shilawadu wametupenyezea taarifa za wakali wawili kutoka katika team ya WCB Wasafi kupigwa chini na kampuni hiyo.
Ni official photographer wa Diamond Platnumz, Kifesi pamoja na designer ambaye pia ni muimbaji anayefahamika kama Q Boy Msafi.
Wawili hao inasemekana wamepigwa chini na kampuni hiyo kutokana na sababu ambazo hazijawekwa hadharani.
Soudy Brown amepiga story na Babu Tale ambaye ni meneja katika kampuni hiyo na amefunguka mengi kuhusiana na tetesi hizo.
Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play kusikiliza jinsi ulivyo mchongo mzima mwanzo hadi mwisho.
0 comments:
Post a Comment