,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Thursday, March 23, 2017

Baada ya taarifa ya IKULU leo March 23, 2017 kuhusu mabadiliko yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dr. Harrison George
Mwakyembe amechukua nafasi ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, Shirikisho la Soka Tanzania TFF limempongeza Mwakyembe.
“TFF linampongeza Dk. Mwakyembe kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mola na ambariki na kumuongoza. Amina.” – TFF



TFF linampongeza Dk. Mwakyembe kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mola na ambariki na kumuongoza. Amina.


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi