Lemutuzzzz a.k.a The King Of All Bongo Social Networks aendelea kukimbiza na kudhihirisha kuwa yeye ndiye Mfalme wa Mitandao ya kijamii bongo yote. Yaani Bampa to Bampa(Kazi juu ya Kazi). Aenda nchini Rwanda kikazi. kweli Lemutuz anafata kile alichokisema mwanaharakati
mmoja bwa. Suli Breaks kuwa "Don't wait opportunity to knock, you should send it a personal invite." huyu jamaa huwa hasubiri mafanikio yamfate mlangoni baliyeye huya arika.
Tazama picha zake hapa chini.
0 comments:
Post a Comment