,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, January 8, 2017

Kutokana na majeshi mengi ya nchi mbalimbali duniani kushindana ili kuwa bora zaidi ya lingine, majeshi mengi yanawekeza zaidi kwenye silaha na wanajeshi wenye elimu ili kuwa bora zaidi pamoja na hayo nidhamu kwenye jeshi ni kitu ambacho kinatajwa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa zaidi.

 January 2017 nimekutana na hii video ambayo imetaja majeshi kutoka nchi 10 yenye nidhamu zaidi duniani huku Jeshi la Kenya likiwa kwenye list. Nchi zilizotajwa ni hizi.
Jeshi la China 
Jeshi la Urusi
Jeshi la India
Jeshi la korea Kaskazini
Jeshi la korea Kusini
Jeshi la Ufaransa 
Jeshi la Marekani
Jeshi la Pakistan
Jeshi la Japan
Jeshi la Kenya
Unaweza kutazama video hii hapa chini


0 comments:

Post a Comment

ufunguzi