,./.,

,,

... ...

';';';';

''=

==

adv
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Sunday, January 8, 2017




Dar es Salaam. Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kupitia ndege zake aina ya Bombardier Q400 linaanza kutoa huduma ya safari kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma.



Safari hizo zitaanza rasmi Januari 16, kupitia ndege hizo mbili zenye uwezo wa kubeba abiria 76 ambazo kwa sasa zinatoa huduma katika mikoa ya Mwanza, Arusha, Mbeya, Kigoma na visiwa vya Zanzibar.



Ofisa Habari wa ATCL, Lilian Fungamtama aliliambia gazeti hili jana kuwa safari za Dodoma zitakuwa zikifanyika mara mbili kwa wiki.



“Nauli itaanzia Sh165,000 na itatofautiana kulingana na madaraja,” alisema.

0 comments:

Post a Comment

ufunguzi