NYOTA wa miondoko ya Bongo Flavour Baracka Da Prince achukizwa na kitendo kilichofanywa na msanii wa maigizo ya vichekecho nchini Kenya Erick Emond kwa alichodai kuwa ameikashifu dini ya kikrosto.
Omond aligiiza kama Yesu akiwa kwenye msalaba akisurubiwa ilhali akiwa kama kituko kitendo hicho kimewauzi waamuni wengi wa dini hiyo
0 comments:
Post a Comment