![]() |
PICHANI MSANII MBOTO NA ANNE KANSIIMME |
Na Sosy
MSANII wa sanaa ya uigizaji nchi Haji Salum, maarufu kama Mboto amesema
kuwa hajapata itakayomsaidia kufanya sanaa yake na kupaa anga za kimataifa.
mboto amethibitisha kuwa anatamani kufika walipo msanii Anna Kansiime na Erick Omand wa Kenyaambao wanapata fedha nyingi kupitia sanaa hiyo.
"Nawatamani sana wale watu ninawamudu tofauti yetu wao wamepata channel mimi ndio niitafuta nikiipata..."amesema Mboto
omond amesema hayo kwenye mahojino maalumu aliyofanya na gazeti la Mwananchi, ambapo amesema kuwa anataka tasnia hiyo imemfikishe mbali.
0 comments:
Post a Comment