WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIZUNGUMZA BAADA YA KUKAGUA VIWANDA VYA KUUNGANISHA MAGARI NA VYUMA WA KULIA KWAKE NI WAZIRI UJENZI MAWASILAIANO NA UCHUKUZI MAKAME MBARAWA |
Na Sosy
WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa alihimiza baraza la Halmashauri ya Mji wa Kibaha kutenga maeneo kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda nchini kutokana na kutimiza adhma ya serikali ya awamu ya tano ya kukuza uchumi kwa viwanda.
akiwa katika ziara ya kukagua kiwanda cha chuma na kuunganisha magari Kassim Majaliwa amesema kuwa baraza hilo linatakiwa kutenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Kassim majaliwa amesema kuwa Jiji la Dar es Salaam limejaa na kibaha mjini hawana ardhi ambapo kibaha vijini wangeweza kuwa na maeneo.
WAZIRI MKUU AKIKAGUA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MAGARI YA ZIMA MOTO CHA SUMA JKT
0 comments:
Post a Comment