MADEE |
Na Sosy
MSANII wa Bongo Flaval
Madee ameweka wazi kuwa umri wa kuoa umeshafika na kwamba atakapopata Mwanamke mwenye sifa anazitaka
ndipo atakapoua.
Hayo ameeleza jana alipotembelea
kituo cha televisheni cha Afrika Swahili Tv amesema kuwa Mwanamke mwenye
maadili na aliyeshika dini ndiye aina ya mwanamke atakayeona.
“Sitafuti mwanamke
natafuta Mke”Amesema Madee.
Madeee ameeongeza kuwa
anamzimia mwanamke mwenye kujituma katika utafutaji
0 comments:
Post a Comment