Posted by Williammalecela.com on Friday, November 18, 2016
Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba
hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu
mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na
kukashifu watu mbalimbali, HUYU HAPA LIVE!!
0 comments:
Post a Comment