Hizi ni picha za video mpya ya Snura itwayo najidabua imefanyika katika sehemu nyingi kama Akemi restaurent maeneo ya kigamboni na video hii imefanywa na kampuni mpya kabisa ya ICE VIDEO video hii inamzungumzia jinsi mama anavyopata shida akiwa hajapata ujauzito katika familia alisema Snura na Blogu ya wananchimedia live subiri ujio huu.
Thursday, May 28, 2015

Categories: udaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment