Posted by Williammalecela.com on Friday, October 07, 2016
Wimbo
wa salome ulioimbwa kwa kukutanisha mafundi wawili kutokea lebo ya WCB
Diamond Platnumz AKA Simba Jini na Rayvanny umekimbiza ile mbaya huku
nchini Kenya kwa kushika namba moja kati ya nyimbo 100 bora
zinazoongoza
kwa kununuliwa huko Kenya
Daaaah kubaaabeki WCB sio watu wa mchezo mchezo bhana aisee kila wimbo wanaoutoa ni hit song tofauti na kina naniliu
0 comments:
Post a Comment