
Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) mara baada ya kuwasili ofisini kwake. Lengo la ziara ya balozi huyo lilikuwa ni kuelezea nia ya serikali ya India katika uwekezaji kwenye sekta ya gesi nchini.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiongoza kikao na Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Nchini(EWURA) na Mamlaka ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Mafuta (PURA).
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya (kushoto)
0 comments:
Post a Comment