@Nimepigiwa
simu na Wananchi 4 kina mama wakidai kufanyiwa unyama wa ajabu sana na
huyu mtu hapo juu, in almost all cases wanadai huyu Mtuhumiwa aliwahadaa
kwa kwenda kazini kwao kama mteja wa kampuni wanazozifanyia kazi and
then akawaomba kukutana nao lunch kikazi na mara kwa mara alikuwa na
tabia ya kutumia Hotel moja ya Kimara Mwisho......ni kwamba ukifika pale
kwenye hiyo Hotel unapewa supu au kinywaji ambacho ukishkunywa baada ya
muda unasinzia for like 10 minutes unakuwa kama umepoteza fahamu then
ukirudiwa na fahamu vitu vyako vyote vya thamani hasa dhahabu au pesa
kwenye pochi unakuta zilishapotea na yeye hayupo tena.....I hope Polisi
itafanya uchunguzi wa kina kwa sababu huyu mtu inasadikiwa ameibia
wananchi wengi sana hasa Wanawake! - le Mutuz Nation
0 comments:
Post a Comment