Posted by Williammalecela.com on Tuesday, October 11, 2016
 |
Mshindi
wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter
Magina(katiktai) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Mkuu wa Vodacom
Tanzania
Kanda ya Ziwa,Ayubu Kalufya(kushoto), wakati wa hafla ya makabidhiano
iliyofanyika jijini Mwanza, kulia ni Meneja wa duka la kampuni hiyo
mkoani humo Jumeo Khamis,
Mshindi wa jiongeze na M-pawa mkazi wa Ngudu Mkoani Mwanza Peter
Magina,akionyesha mfano wa hundi,kwenye hafla ya makabidhiano
iliyofanyika jijini Mwanza.
|
0 comments:
Post a Comment